Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Mpwa umepigwa cha mbavu nini?
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.
Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa jiji la dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembeleaga posta huwa nashindwaga kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa, mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya mbagala, tandika, manzese, tandale, gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu. Kuweni wastaarabu sio tukikutana posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.
Mara nyingi maeneo hayo huwa ni maeneo ya kazi na kuna maofisi mbali mabali......Watu huwa hawana muda wa kupoteza....kila mtu yupo bize na lwake...labda kama mtoa mada ni mzururaji...........
Ukitaka kujua vizuri nenda ka observe sura pale posta, poteza kama masaa matatu fulani hivi mida ya saa 6 hadi 9 halafu baadae hamia Mwenge kule kwenye sagula anzia saa 10 hadi saa 1 hivi utapata unachotaka.
Hivi hauna shughuli lakini?
sio kweli.. Labda wewe ni mgeni.
Posta ndiyo wapi?