Vijana wenzangu tuache kuhonga kizembe!

Labda kama atakuwa anawamega hao alozaliwa nao maana nyege nayo ni sehemu ya matatizo yanayotatuliwa kwa pesa
 
Waiter, mpelekee Bia 2 Tumpiche..
Point clear understood..

Sema Mzee baba, ni hiki kichwa kingne kikitaka kitu na ukakiacha kiamue, Dah! Majanga aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuhifadhi hela ziweze kutusaidia Mbeleni/kesho/kujijenga kuuchumi nk...

Nakazia hapa.

Kinachowaumiza weng ni hapa kwenye kujitoa (forgone things), maana inajumuisha kumsaidia mtu kwa mali na hali ukitegemea ni wako pekee, alaf uje ugundue ana kucheat/hakuthamini.
Unaanza fikiria Muda na hela ulizopoteza...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake pasua kichwa! Vipusa hawa watu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kukaa bila kuhonga naweza kuumwa, yaani nimeshazoea kuombwa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…