Mkuu unataka nkutatue marinda ndo ujue mi kidume au? Wacha ujingaSijui kwa nini nimehisi huu mwandiko ni wakike!
Na kama siyo mwanamke kaandika basi kuna tatizo mahali.
Anyway.. Sorry kwa kuhisi!!
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Najua huna marinda ,sasa endelea kunifata fatakama alishatatuliwa itakuaje,,,,,, utakua siyo kidume nini ;???
Certified idiot!!Mkuu unataka nkutatue marinda ndo ujue mi kidume au? Wacha ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua umechukia jamaa kawatibulia vitonga.... Ukweli ndo huo,... Huwezi honga honga hovyoSijui kwa nini nimehisi huu mwandiko ni wakike!
Na kama siyo mwanamke kaandika basi kuna tatizo mahali.
Anyway.. Sorry kwa kuhisi!!
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nawaasa vijana wenzangu,tufanye kazi kwa bidii na kuhifadhi fedha zetu ili ziweze kutusaidia ktk matatizo yetu yabaadae! Unampaje mwanamke fedha kizembe tena ambae hana mda naww! Et umempenda? N mama ako mzazi huyo au umezaliwa nae?? Ukiwa na shida anakusaidia nn zaidi ya kukucheka! Tubadilike jmn saiv ndo muda wa kumek..sasa ww jifanye kidume sana tutakutana uzeeni! Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app