Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Feb 1, 2012 #1 Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha
Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha
M mgeni wenu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 3,664 Reaction score 1,731 Feb 1, 2012 #2 Mbunge wa Tarime Nyambaf Nyangwine
Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,996 Feb 1, 2012 #3 jingofresh said: Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha Click to expand... Mbunge mwenyewe ni nani? ni muhimu kumfahamu ili kujiridhisha kama ni mtu mkweli ama ni wale wapika majungu na fitna!!
jingofresh said: Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha Click to expand... Mbunge mwenyewe ni nani? ni muhimu kumfahamu ili kujiridhisha kama ni mtu mkweli ama ni wale wapika majungu na fitna!!
Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,996 Feb 1, 2012 #4 mgeni wenu said: Mbunge wa Tarime Nyambaf Nyangwine Click to expand... Kama ni huyo poti poti wala msipoteze muda wa kumjadili ama kujadili kauli yake. Anasumbuliwa na laana ya wazee wake!!
mgeni wenu said: Mbunge wa Tarime Nyambaf Nyangwine Click to expand... Kama ni huyo poti poti wala msipoteze muda wa kumjadili ama kujadili kauli yake. Anasumbuliwa na laana ya wazee wake!!
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,910 Feb 1, 2012 #5 Mwita Maranya said: Kama ni huyo poti poti wala msipoteze muda wa kumjadili ama kujadili kauli yake. Anasumbuliwa na laana ya wazee wake!! Click to expand... Mbona mnatuchekesha yaani nimecheka mpaka nimetoka machozi
Mwita Maranya said: Kama ni huyo poti poti wala msipoteze muda wa kumjadili ama kujadili kauli yake. Anasumbuliwa na laana ya wazee wake!! Click to expand... Mbona mnatuchekesha yaani nimecheka mpaka nimetoka machozi
Bourgeoisie JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 656 Reaction score 162 Feb 1, 2012 #6 Mwache ataambiwa akae chini muda si mrefu.........."Nasema kaa chini"
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,420 Reaction score 3,051 Feb 1, 2012 #7 Mkuu fafanua zaidi, vijana wanatumika kama kondom kivipi? Sijaelewa.
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 1, 2012 #8 Bourgeoisie said: Mwache ataambiwa akae chini muda si mrefu.........."Nasema kaa chini" Click to expand... "hausikii?kaa chini"
Bourgeoisie said: Mwache ataambiwa akae chini muda si mrefu.........."Nasema kaa chini" Click to expand... "hausikii?kaa chini"
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Feb 1, 2012 #9 Globu said: Mkuu fafanua zaidi, vijana wanatumika kama kondom kivipi? Sijaelewa. Click to expand... kama kusoma tabu hata picha mkuu huoni!!????
Globu said: Mkuu fafanua zaidi, vijana wanatumika kama kondom kivipi? Sijaelewa. Click to expand... kama kusoma tabu hata picha mkuu huoni!!????