msambaa mwenyewe
Member
- Aug 17, 2016
- 69
- 46
KWANINI MAISHA YAKO YAWE YA BAHATI NASIBU?
Ni meangalia jamii yangu inayo nizunguka hasa kwa vijana bado kuna vimbi kubwa sana la watu wanaishi basi na kujua nn kusudi hasa la kuishi na wala hawana habari na kuyajua hayo wanaishi maisha ya udhalilishaji pasi na kujua wamekua chini zaidi ya wanyama wa mwituni kwa kifupi yaani unaweza sema kuwa wanaishi kwa bahati nasibu kwasababu gani ninasema wanaishi kwa bahati nasibu.
Kwasababu hawajui kwanini wanaishi wao wanao na kula, kunywa na kulala kukaa kupiga zoga basi inatosha unakuta mtu haya ndio maisha yake siku zinakatika miezi inaenda na miaka inakwisha hana bidii yeyote anayo onesha juu ya maisha yake ya usoni.
Na anayafanya haya kwa kukosa au kutojiwekea kipao mbele katika maisha yake hala lengo wala ramani ya maisha yake ya baada ye kwama hauna ramani yeyote ndugu yangu safari yako ya maisha itakuwa ngumu sana kuishi kwa kubahatisha sio zana ya kutosha katika safari kubwa ya maisha yako kama utaridhika kuishi bila muongozo utakuwa hauna tofauti na mnyama au wewe utakuwa ni zaidi hata ya mnyama porini kwasababu hata mnyama pia anaramani katika mawindo yake.
Uvivu hili ni janga sugu kwa vijana vijana wengi hawataki kabisa kujibiidisha hawataki kujisumbua kabisa wajiona wazito kuyaendea mambo ya maana yatayo wapa uhuru wa maisha yao lakini hawaoni uvivu kukaa kwenye Tv kufuatilia tamthila za kihindi za kichina tena anapanga mpaka ratiba kabisa ili zisimpite mtu yopo tayari kukaa masikani kuongela maisha ya watu au kuzungumia maisha ya watu maarufu dunia si vibaya kuangalia maisha ya watu maarufu waliofanikiwa kwa kujifunza mapito yao lakini hawa wanaangalia kwa kujifurahisha tu na wala hawajifunzi chochote kile.
Ngojea nikuambie ndugu yangu mimi nimfuatiliaji mzuri sana tena sana maisha ya viumbe vya Mungu waliofanikiwa lakini nimegundua hawa kufanikiwa kwa kukaa masaa matano kufuatilia tamthilia hawakuwa wavivu hawakuwa watu wakushinda maskani kutwa na hata kama wapo ambao wamefanikiwa bila kujituma na bidii basi ni wachache sana hata ukiamua kuhesabu hauwezi kumaliza vidole vya mkono wako mmoja lakini nimeona wingi wa waliofanikiwa ni wale walio amuakupigana na jinamizi hili la uvivu na wakalishinda kwa kufanya kazi na bidii walifanya kazi kwa mfululizo na kwa jitihada bila kupumzika.
Hii kwangu inanifundisha kuwa maisha yanakuwa ya mafanikio yanakuwap amoja na yule mwenye bidii, ujasiri na nia ya kutenda mambo kuliko walio ngojea bahati nasibu ziwa shukukie, wewe endelea kusubiri biko ikupe maisha au tatu mzuka kwa kukaa masikani na kwenye magenge ya porojo halafu usimame ujifananishe ya yule ambaye yupo juani na anatokwa na jacho kama mvua kwa ajli ya kupigania mustakabali mzima wa maisha yake familia na jamii yake
Kutoka RAMADHANI IBN KIMWERI
Inaendelea...