K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,293 Reaction score 13,958 Mar 4, 2024 #1 Naona sasa vijana kwa mara ya kwanza wameanza kuamka na kuelewa kwamba mambo mengi ni kwasababu yenu. Piganeni kwa katiba mpya. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Naona sasa vijana kwa mara ya kwanza wameanza kuamka na kuelewa kwamba mambo mengi ni kwasababu yenu. Piganeni kwa katiba mpya. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,662 Reaction score 9,975 Mar 4, 2024 #2 Ujana kula Bata bataaa batani, kikubwa jiekeee akiba ya uzeeni endapoo utauonaa
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,598 Reaction score 44,423 Mar 4, 2024 #3 Vijana mawazo wanayo sana ila pa kuyatoa ndo tatizo. Media za udaku na michapo ndo nyingi sana, siasa pia imeharibu mno watu kuto mawazo yao. ITV wanafanya poa sana kwenye hicho kipindi chao, kama kikipewa promo basi hakina muda mrefu kinapigwa ban.
Vijana mawazo wanayo sana ila pa kuyatoa ndo tatizo. Media za udaku na michapo ndo nyingi sana, siasa pia imeharibu mno watu kuto mawazo yao. ITV wanafanya poa sana kwenye hicho kipindi chao, kama kikipewa promo basi hakina muda mrefu kinapigwa ban.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,853 Reaction score 8,248 Mar 4, 2024 #4 Ngoja wazee waje humu baada ya Nap zao. Utawasikia Ujana wao. Halikadhalika... Waache waamke tu na wahakikishe CHADEMA haileti taharuki nchini.
Ngoja wazee waje humu baada ya Nap zao. Utawasikia Ujana wao. Halikadhalika... Waache waamke tu na wahakikishe CHADEMA haileti taharuki nchini.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,213 Reaction score 104,847 Mar 4, 2024 #5 Tatizo la Hii nchi ukisema kitu negative tuu kwa serikali unaonekana mbaya
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Mar 4, 2024 #6 Vijana wana akili sana sema tu wakubwa wameamua kuwachukulia kama wapumbavu
wakunyonya JF-Expert Member Joined Feb 5, 2024 Posts 877 Reaction score 2,113 Mar 4, 2024 #7 Hata ikinyesha mvua ''utasikia mama anaupiga mwingi'' ndio hoja wanazo taka sisiemu hizo kutoka Kwa vijana
Hata ikinyesha mvua ''utasikia mama anaupiga mwingi'' ndio hoja wanazo taka sisiemu hizo kutoka Kwa vijana
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,074 Reaction score 132,540 Mar 4, 2024 #8 Hii ndiyo mijadala tunayopenda kuiona ikifanyika Ova
K Kumakwe JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 384 Reaction score 471 Mar 4, 2024 #9 Vijana wakilala mambo yote yanakwenda kombo ni mpaka pale watakapokuwa wamesimama wao kama wao Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Vijana wakilala mambo yote yanakwenda kombo ni mpaka pale watakapokuwa wamesimama wao kama wao Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,253 Mar 4, 2024 #10 Dah! Yani Dah!
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Mar 4, 2024 #11 Katiba haileti chakula mezani. Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi. Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale
Katiba haileti chakula mezani. Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi. Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,733 Reaction score 81,793 Mar 4, 2024 #12 Too powerful
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,853 Reaction score 8,248 Mar 4, 2024 #13 darcity said: Katiba haileti chakula mezani. Click to expand... Kijana Nkaburu hebu ifanyie hii kazi darcity said: Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi. Click to expand... Haswa. Hapendwi mtu. darcity said: Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale Click to expand... Hiyo ni fact.
darcity said: Katiba haileti chakula mezani. Click to expand... Kijana Nkaburu hebu ifanyie hii kazi darcity said: Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi. Click to expand... Haswa. Hapendwi mtu. darcity said: Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale Click to expand... Hiyo ni fact.
Nkaburu JF-Expert Member Joined Mar 23, 2023 Posts 1,705 Reaction score 2,090 Mar 5, 2024 #14 darcity said: Katiba haileti chakula mezani Click to expand... πππ Your browser is not able to display this video. πππ
darcity said: Katiba haileti chakula mezani Click to expand... πππ Your browser is not able to display this video. πππ
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,388 Reaction score 185,625 Mar 5, 2024 #15 Inapendeza... Cc: Mahondaw
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Mar 5, 2024 #16 Sawa