Vijana wafundishwe uzalendo

Sir Kite 2

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
552
314
Vijana wapewe uzalendo

Katika kizazi kijacho kama vijana wa nchi hii hawatapewa au kufundishwa uzalendo ipo hatari ya kuwa na vijana ambao ni vibaraka kwa mataifa ya nje,
 
Uzalendo hautolewi kama Zawadi au kwa mafunzo, uzalendo unaanzia kwenye malezi ya familia na jamii inayomzunguuka mtu tangu utoto wake
 
Uzalendo unaletwa na viongozi kwa mapenzi yao juu ya wananchi wake kuwachukulia kama ni familia yake na vyombo vya dola kutenda haki katika kusimamia sheria. Huwezi kuteswa ovyo na askari mitaani halafu ukawa mzalendo wa kweli. Huwezi kuwa nje ya nchi ukataka msaada ubalozini ukapuuzwa, ukawa mzalendo. Huwezi kupanga foleni kwa masaa 8 kupiga kura halafu akatokea mtu akasema kura yako si lolote si chochote.
 
Dhuluma ni nyingi mno Tz,haiwez times,mfarakano ya kiuchumi,kisiasa ni nyingi mno.Bora hivhiv tu
 
Vijana wapewe uzalendo

Katika kizazi kijacho kama vijana wa nchi hii hawatapewa au kufundishwa uzalendo ipo hatari ya kuwa na vijana ambao ni vibaraka kwa mataifa ya nje,

Hao waliofundishwa uzalendo Na kupita JESHI la kujenga Taifa mbona ndiyo wamekuwa maprofesa wa ufisadi?
 
Vijana wapewe uzalendo

Katika kizazi kijacho kama vijana wa nchi hii hawatapewa au kufundishwa uzalendo ipo hatari ya kuwa na vijana ambao ni vibaraka kwa mataifa ya nje,

Napingana nawe mtoa mada. Mimi nadhani vijana tuwafunze Ujasiri wa kutekeleza uzalendo kwa vitendo. Uzalendo mtu huwa hafunzwi bali huzaliwa nao!
 
Back
Top Bottom