Vijana/wadogo zetu mliozaliwa miaka ya 1990's mna bahati sana mnaona hadi video zenu za utoto bwana

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Ni baati ya juu kabisa maana mimi nina kapicha kamoja tu tena ka black and white ila nyie mna
Video
Picha
Wazazi wenu tumewaweka hadi facebook
Hadi mikanda ya harusi zetu tumewawekea !!!

Hongera zenu wanetu
 
Back
Top Bottom