DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,363
Nchi ya viwandaa baba,viwandaa n vingii kilaa kona tutakosajee ajiraa na tunalipwa mishaara minonoAjira zimekua nyingi kutokana na kukua kwa uchumi wa nchi kwa muda wa zaidi ya miaka kumi sasa hivo sekta nyingi zimeajiri vijana wengi sana. Kumbuka nchi yetu bado gharama za maisha ni chini hivo ukipata kazi nzuri unaishi kama mfalme.
Heee!!! Viwanda tena!!!!Nchi ya viwandaa baba,viwandaa n vingii kilaa kona tutakosajee ajiraa na tunalipwa mishaara minono