Mkuu, sio ujinga, ni umasikini tu!
Mkuu, kama wewe ni kijana wa kijijini pale Igunga, unategemea kilimo, mkeo ni mjamzito wa miezi tisa, na ana compications tayari, umeshaambiwa na nesi kuwa itakubidi uende hospitali ya mkoa, ndani una gunia mbili za mpunga, una watoto wengine wawili, akiba yako kwa ajili ya uzazi ni 50K. Unaambiwa chukua 30k usipige kura. What would you do? Umasikini ni kitu kibaya sana!!