Vijana wa dotcom

Mimi huwa sijibu kitu na akinipigia kuniuliza namwambia kabisa sijaelewa lugha uliyotumia kabisa, akijaribu kunielezea meseji yake hapo ndio namalizana naye kabisa kwa jibu hili.. ''mbona maneno unayoniambia sijayaoona kwenye hiyo sms yako?''
Mimi hua sijibu Na kama ntaamua kujibu naweza mvuruga next time asinitext xaxa naxema ile ixhu vepe aiseee sjui nan kafundisha ujinga huu
 
Wasanii ndo wanatuharibia vijana wetu, hebu cheki hicho kivazi cha Ben Pol
 
Mimi huwa sijibu kitu na akinipigia kuniuliza namwambia kabisa sijaelewa lugha uliyotumia kabisa, akijaribu kunielezea meseji yake hapo ndio namalizana naye kabisa kwa jibu hili.. ''mbona maneno unayoniambia sijayaoona kwenye hiyo sms yako?''
[emoji106] [emoji120] nimepata dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…