hii sijaelewa⊘ 𝘛𝘩𝘪𝘴 𝘮𝘦𝘴𝘴𝘢𝘨𝘦 𝘰𝘯𝘭𝘺 𝘢𝘱𝘱𝘦𝘢r𝘴 𝘵𝘰
𝘱𝘦𝘰𝘱𝘭𝘦 𝘸𝘩𝘰 𝘣𝘢𝘵𝘩
Mkuu umetembea mikoa mingapi ukapata hizo takwimu?Wengi kuanzia ahe ya 24 adi 28 tayari wananyumba zao wenyewe . Apo dar vjn wengi wamepanga tu
Chimbo ela ipo yakutosha sema vijana wa siku hizi kushida kutiktok tujuzi kati Emmanueli Mbasha alikuwa anahojiwa na vido wa amplifaya CLOUDZ akiwa. chunya,anasema anawasihi vijana wawekeze machimboni/migodini ndiko maisha yalipo.NILITAFAKARI SANA,MTU MAARUFU KAMA YULE KUSEPA DAR KUJA KUCHUMA PORI,NILITAFAKARI SANA,NA NI KWELI,mjini tunagombaniana fursa matokeo yake tunazipata wengi kwa gawio kiduchu,mtu unalipwa laki 2,laki 3 hata akiba tuu haibaki!
Penati kaburiniSawa fainali uzeeni babu