Vijana tusishikiwe akili

Labda wewe na wale vijana wehu wehu, vijana CCM HAIWEZI Kuwatelekeza,ndio maana ina UVCCM!,kura zitatosha acha kukejeli wazee!

UVCCM ni genge la watoto wa viongozi. Sio umoja wa vijana wa Tanzania
 
 
We unalia lia nini si uweleze CCM itawafanyia nini??
 
 
Una mpenz aisha?? Nimependezwa nawe

mkuu, wewe nenda kahangaikie kwanza camera za cctv, then ndo uje utupe mrejesho hao wanawake watakupasua kichwa, wenzako akili zetu zote zinawaza uchaguzi huku mwenzetu ukiwaza kutendwa
 
 

Acha ushabiki wa kisiasa kwani CCM walituahidi mengi sana ikiwemo maisha bora kwa kila Mtanzania yakuwapi hayo maisha bora?.CCM wameshindwa kutuambia wameyaboreshaje maisha yetu ili tuweze kuwachagua tena.Tuambie wewe kwani CCM na si chama kingine?.
 
kwan ugomvi??? watu kupeana msaada na mawazom pia kufarijiana,. sio kuongeza majungu but sory kwa kukuboa na kuwaza uchaguz
 
Wana wa Israel walikula asali na nyama toka mbinguni baada ya kukombolewa na Mussa, mwisho walichoka wakahitaji kula matango na adesi watakayolima wao wenyewe.

Hatuwezi kukubali watu wachache wasababishe tule matango na adesi wakati asali na nyama vinatiririka toka mbinguni.

Rais atakuwa Magufuli tu, wengine pigeni kelele mkichoka mtanyamaza. Jiandaeni tu kuhudhuria uwanja wa Taifa kwenye sherehe za kuapishwa tinga tinga
 
Vijana TUTAMPA KURA ZETU EDWARD LOWASSA tumechoka na haya maisha magumu na ahadi za uongo kuhusu ajira.
 
Lowassa ana vina saba vya CCM tena siyo CCM ile yawatendaji bali ile ya wabovu ya wale wanaodhani ili ufanikishe jambo ni lazima utoe rushwa au hongo. Yaani uiondoe CCM umuweke Lowassa maana yake ni kuindoa CCM safi na kuiweka CCM chakavu na mbovu zaidi.
 
Lowasa ndio rais wetu CCM ni genge la wezi na wabadhirifu wa mali za umma
 

Nini hapo kinachoshindikana?wakishindwa sisimu haimanishi na wengine watashindwa,ni jambo dogo.sana hlo fikiria tu kwa haraka scandal za ufisadi unazozifahamu ni pesa ngap zimekwapuliwa,achilia mbali zile tusizozijua,hzo pesa zingeenda kweny afya,elimu bure,miundo mbinu nzuri,uwezeshaji wa jamii,kilimo na kupunguza mfumuko wa bei uliopo ss,wananchi wangesave kiasi gani hapo maana kuna huduma wasingegharamia kabisa ss mwenye bodaboda 1 hawezi kuongeza ya 2?
 

nyang'au ni wewe na hao wezi waliokimbizwa ccm unaowaita wakombozi
 


Sikujibu mada yako hii kwa sababu tumeaswa namna hii Mithali 26:4 soma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…