Vijana tusishikiwe akili

Ndio kampeni zenu za vitisho nyie wapumbavu. sisi tumekwisha amua, tunataka uchaguzi huru la sivyo tutaandamana pasipo kikomo mtuue. Kwanza tanzania haina amani ni kuvumilia tu

Hivi mpumbavu kama wewe ukifa kwa maslahi ya wenye akili timamu milioni arobaini kuna hasara gani mwenzako anakuelewesha upime kwa akili zako uwezekano wa ahadi hizo wewe unakurupuka na ndiyo maana kwa sisi tunaoamini biblia inasema hivi: "MPUMBAVU HUAMINI KILA KITU BALI MWEREVU HUPIMA MAMBO KWA HEKIMA" hIVI hata kama una matope kichwani unaweza kuwa na bajaji na baada ya siku 50 ukawa na gari? au matembe yote Tanzania yanaweza kujengwa nyumba za kisasa kwa siku mia moja tu? LAKINI MPUMBAVU HAYO YOTE AMEYAAMINI MBONA NYUMBANI KWENU NYUMBA MOJA TU YA KISASA BABA ZENU WAMEJENGA KWA MIAKA 35 ZA UTUMISHI SERIKALINI HILO HAMJIULIZI MALIMBUKENI NYIE?
 


Tumia akili kufikiri na siyo masaburi hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
 


Mwenzako anakuelewesha upime kwa akili zako uwezekano wa ahadi hizo wewe unakurupuka na ndiyo maana kwa sisi tunaoamini biblia inasema hivi: "MPUMBAVU HUAMINI KILA KITU BALI MWEREVU HUPIMA MAMBO KWA HEKIMA" hIVI hata kama una matope kichwani unaweza kuwa na bajaji na baada ya siku 50 ukawa na gari? au matembe yote Tanzania yanaweza kujengwa nyumba za kisasa kwa siku mia moja tu? LAKINI MPUMBAVU HAYO YOTE AMEYAAMINI MBONA NYUMBANI KWENU NYUMBA MOJA TU YA KISASA BABA ZENU WAMEJENGA KWA MIAKA 35 ZA UTUMISHI SERIKALINI HILO HAMJIULIZI MALIMBUKENI NYIE?
 

Sasa nakuuliza UNAFUU WA MAISHA UTALETWA NA HAWA CCM ???!
 
Kafilie mbele uko wewe ndio umeshikiliwa akili na hujitambui kabisa
 
Inaelekea nyiye magamba mmeamua kumquote vibaya Edo ili mradi tu kujitengenezea propaganda.

Sijawahi kumsikia kwenye hotuba yake yeyote Lowassa akiasema kuwa atakapoingia madarakani, kufumba na kufumbua Tanzania yote itakuwa Paradiso!

Ninachojua ambacho amekisisitiza sana ni kuwa kutokana na rasilimali ambazo Mwenyezi Mungu ametukirimu katika ardhi ya nchi yetu, ambapo haifanani na umasikini tulio nao waTz wa utawala wa CCM wa zaidi ya miaka 50,ndipo anaposema kuwa atajitahidi kwa kadri atakavyoweza ilii kuboresha maisha ya watanzania katika kipindi kifupi kadri awezavyo.
 
Kuna msemo wa werevu flani unasema "unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa muda lakini huwezi kudanganya watu wote siku zote " werevu hawa wanamaanisha upo mwisho wa kudanganyika. Unaweza kuwa leo unaweza kuwa kesho ila mwisho upo. Ccm wanasema wanategema kura za vijijini inamaana kwa muda wamefanikiwa kudanganya lakini wa mjini wamegoma kudanganyika wavijijini nao hawatadanganyika milele ipo siku watalevuka na kusema sasa basi.
 
Kilio changu ni kwamba ccm iondoke madarakani tu baaaaaasi, tujipange upya........ Taifa limedumazwa viongozi wakicheka cheka, tena ccm inapoteza umakini kadiri siku zinavyo songa.

halafu utatawala wewe? umewahi kuwa mjumbe wa nyumba 10 au kiranja wa darasa au shule?
 

Ndugu yangu unaonekana wewe siyo mpenzi halisi wa edward hatuna sababu ya kumzushia waulize wenzako watakuambia tena alisema mwenye bajaji atakuwa na gari kwa siku hamsini na mwenye pikipiki atakuwa nazo 20 ndani ya muda huo huyu ni mtanzania mwenzetu lakini kwa hayo anayowaahidi anawadangaya ili mumpigie kura hawatakii mema ndugu zangu nawaomba muondoe ushabiki mfikiri kwa kina msikurupuke na hata hivyo CCM imezaliwa 5 feb 1977 mpaka leo ni mika 54? someni hata historia ya Tanzania itawasaidia kupambanua pumba na mchele.
 

Bora mihogo yenye sumu maana tutapoza kwa maziwa kuliko CCM ya wauaji, watesaji, mafisadi yote 10 yaliyobaki yapo CCM, wadumaza maendeleo ni CCM na watishaji wote wako CCM. Tutamchagua lowasa kwa juhudi kubwa ili CCM itambue hii nchi si yao peke yao, bali ni ya Watanzania wote. R.I.P. marehemu mtarajiwa CCM na mazezeta wako wachache uliobaki nao.
 
Tumekusikia mama,tumechoshwa na ufalme,nchi hii
siyo ya kifalme,hebu niambie ni mtoto yupi wa mkubwa
anayeganga njaa kwenye makampuni ya kinyonyaji?
au benki kuu na taasisi nyingine zenye mishahara minono ni taasisi ya kuajiri watoto wa vigogo tu?

Hatukatai ajira zilizopo kamwe hawezi kuwatosha wote,
lakini tunataka kuwepo uwiano sawa,na hili linatekelezwa
kwa kuua elimu makusudi ili watoto wenu waajiriwe
na wale wa wakulima wabaki kuwa wapagazi
jambo ambalo hatukuwahi kuliona enzi za mwalimu.

Kwa ufupi tunataka kukomesha,ufalme au ukoloni mamboleo
wapinzani haijalishi watatoa ahadi za namna gani ndogo au kubwa
tumewaamini,tuna uzoefu wa ahadi kubwa na ndogo kutoka
chama tawala ambazo huwa hazitekelezeki lakini tunawachaguaga hivyo hivyo
na kwa sheria hiyo hiyo tutawaamini wapinzani tutawapa nchi.
Nao wakiharibu tutawatoa kama tunavyoitoa ccm.
 
Ccm wametelekeza vijana bila ajira wamekumbatia wazee..tuone sasa kama hizo kura za wazee zitatosha

Labda wewe na wale vijana wehu wehu, vijana CCM HAIWEZI Kuwatelekeza,ndio maana ina UVCCM!,kura zitatosha acha kukejeli wazee!
 
Unaposema akina Edo hawataingia Ikulu, ina maana wewe ndiye mwenye remote control ya kuwaelekeza wapiga kura zaidi ya milioni 23 waliojiandikisha wampigie Magufuli?

Inaelekea wewe upo ndani ya System na umefaidi sana kwa kipindi kirefu sana mfumo wa ufisadi unaelelewa na CCM, kwa hiyo umeanza kuweweseka baada ya kuona kuwa Umma wa watanzania umedhamiria kwa dhati kutekeleza ile dhana ya Mwalimu Nyerere aliposema kuwa WATANZANIA WASIPOYAPATA MABADILIKO NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM.

Unachopaswa sasa ni kutulia na kushuhudia Umma wa watanzania unavyotumia 'vichinjio' vyao vya kupigia kura tarehe 25 Oktoba mwaka huu,kwenye sanduku la kura kuwang'oa nyiye 'manyang'au' ambao mnaamini rasilimali zote za nchi hii ambazo Mungu amezijaalia kwa nchi hii,kuwa rasilimali hizo ni halali kwenu nyinyi na familia zanu pekee!
 
 
Kwa ujinga wenu Masisiem hamuwezi kuamini kama yanawezekana. Ngoja makamanda wakamate nchi uone inavyowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…