Subiri ukiwa mzee utaelewa.Raha zipi ambazo sie vijana hatuna?? Ebu tufunulie dunia tafadhari tujue tunapokwama
Hapo kondoa ni hatari nimetia nanga kwa mtoto WA kirangi hapoDoh kwei raia tumetofautia kwenye kuangalia quality ya hawa viumbe “K”, mbona wa kawaida sana Mzee ukienda Mbulu au Hanang mixer Kondoa si utakimbia Mkuu. Maana huyu wa Mzee hata kama huna kitu kwa haya maeneo unampata kawaida.