Vijana tuko wapi?

Vijana tuko wapi?

Tiganize

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
10
Reaction score
2
Nidhahili kabisa taifa linawategemea vijana kama wakombozi wa kesho, chakushangaza watanzania hususani vijana bado wanajitenga na siasa kwa kutegemea kuwa mabadiliko yataletwa mbali na siasa.

Kwa kutambua kwamba mfumo wa utawala ndo nuru ya mabadiliko uijana hatuna budi kuwa chachu ya maendeleo yetu kwa kujihusisha na siasa mbayo itupatia fursa ya kupata nafasi za utawala na kuikomboa nchi.
 
Back
Top Bottom