Vijana tujitahidi kuwa nadhifu

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
2,428
Reaction score
1,660
Wimbi la vijana kuvaa mlegezo limeongezeka huku nguo nyingi za ndani zikiwa sio nadhifu.Hawa vijana tuwafanyeje wajielewe.
 
afandekifimbo napendekeza JKT ichukue kuanzia form four akimaliza tu miezi 6 ya kusubiri matokeo waende JKT.
 
Chapa Sana wajinga unawaona wote wamefaa hvo
 
Hao vijana hawapendi mkuu hebu wachunguze vyema!Wengi wao hawana ajira na wamekata tamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…