Aminoltetranguloxide
Member
- Jul 26, 2022
- 10
- 19
Picha ya majungu au nawewe ushaanza majungu tayari[emoji16]Weka picha tuone hayo majungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi co kijanga hata ivyo
Weka picha ya majungu vijana tuione Ili tujibu hoja yakoVijana wengi huku mtaani wamekuwa ni watu wa kulaumu wazazi wao au serikali kwamba hawapewi support ya kimaendeleo.
Hali inayopelekea maisha yao yamekuwa magumu sana, majungu kwa vijana yamekuwa mengi kitu ambacho kinafanya vijana wengi wawe na misongo ya mawazo.
Badala yake vijana waache majungu waingie kazini siku zote mwanzo ni mgumu wapambame waache majungu, kwani majungu yanapoteza muda na hayana faida.
siku zote mwanzo ni mgumu. [/QUOTE said:HAKIKA.
#YNWA
Kwakweli[emoji109]Vijana wenyewe wanawaza kubet na porno na kuingia Instagram either waangalie habari ambazo hazitawasaidia au waangalie pisi kali, Vijana sound za kutongozea wanao ila za kuombea connection hawana, wakipata hela kidogo wanawaza kuzitumia kuimpress watu wasio na msaada kwao.
Yaani vijana wa sikuhizi upupu mtupu.
Mi nkipata rafiki nkagundua una ideology za hivyo nakupigia chini bila kufikiria mara mbili