Kungekuwa na Chuo cha mahusiano na mapenzi; vijana takriban wote wangekuwa wasomi kwa level ya degree, masters, PHD and ... kwa kuwa na aghlabu sana, kwa vijana wa leo kuto jihusisha na mapenzi.
Wako wataalamu waku date, kufukuzia wake na waume wa watu, na wengine wanaapa "Mimi siwezi kuishi bila ya mpenzi" hawa ndio waleee; anamuacha huyu ana mfuata yule, huo ndio mwenendo wa maisha yao always and foreva.
Ukiwauliza; utaoa/utaolewa lini?
Hawaushi sababu; mimi mwanafunzi, mie sina uwezo, mie bado mdogo, mie sina mchumba, mie wazazi hawawezi kukubali. Almuhiiim; wasaishi sababu.
Ushauri wa bure.
Kama hamuwezi kuoa/kuolewa; mji heshimu, na muwaheshimu walioowa (na mimi) na kuolewa na habari za kung'ang'ania mahusiano hali yakuwa hamfikirii kuoa au kuolea hazifai.
Haukotayari kuowa/kuolea= acha kujihusisha na mapenzi, utaishia kutendwa na itakuuma sana, mnaiharibu jamii.
Don't post but fact, otherwise; you better not.