Vijana na mapinduzi EAT

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,275
Reaction score
33,878
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.
 
Softy copy??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…