Vijana hawa watatufaa BAVICHA taifa

Namkumbuka sana Mwalimu Fredy C. Hatari kabla hajafukuzwa Udsm, alikuwa na rafiki yake maarufu kama Al-Shaabab (Mabirika mawazo).

Walikuwa marafiki sana na viongozi wa migomo sana. Na wote walifukuzwa, watawafaa sana CDM maana sera ya CDM ni migomo.

 

zanzibar kuna bavicha kwani?
 
Udsm gani unayoizungumza wewe ambayo Mruta ana CV nzuri kuliko ya Hatari na Danny Naftali? Udsm ipi hiyo hebu tukumbushe sisi ambao tumesoma pale miaka mitano japo ilitakiwa tukae pale miaka minne.

Udsm hiyo ya Mruta kuvuka level za Naftal na Hatari haipo. Hao vijana wanatakiwa waje CCM wajenge nchi waachane na mambo ya ubabaishaji huko CDM.

 

Hata miye namshangaa huyu kijana anayemfananisha na kijana hatari Daniel Naftali.
 
Hao wote watakataliwa na Mbowe ,mtei na Slaa.
 
Yeyote atafaa CDM kwa investment ya vijana wako njema
 
Jamani ctasema lolote kuhusu wengine lakini kama tunataka kulijenga hili taifa, vijana wenye matusi kama huyo Mwakibinga hawafai kabisa,anaweza kuwa mwanaharakati na mpiga debe wa chama lakini si kiongozi wa kitaifa.
 
Chadema Kina kila Sababu yakuongoza Nchi Kwanza inahazina ya wasomi na watu wenye kuelewa tulipotoka, tulipo na tuendako. Uchaguzi wa Baraza la vijana Taifa Bavicha kuna hazina ya vijana kama Mfano Ephata Nanyaro anayewania kinyanganyiro cha Uwenyekiti wa Bavicha Taifa Tumeona Mengi aliyofanya Arusha moja wapo kwenye Shule ya Levolosi. Chadema tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
 
Mod kutuchanganyia habari mbili kua habari moja siyo ugwana nakuomba huo uzi wangu ujitegeme Mod
 
Tatizo lililoko CHADEMA ni sawa na lililoko kwenye Chama Cha Magamba (CCM),Wanapenda kuwabeba watu wasio na sofa kushika nyadhifa flani ili mradi wawe tayari kuwalamba miguu na kuwakubalia kila jambo pasipo kuhoji,Akitokea mtu mwenye sifa lakini asiyekubali kuyumbishwa utafanyiwa fitina mpaka aukose huo uongozi.Pale BAWACHA kuna Liliane Wassira,ana sifa zote za kuiongoza ile taasisi ila sitashangaa nikisikia anapewa mwanamke mwingine asiye na sifa lakini aliyekaribu na wakubwa.Hizi ndiyo siasa za Kibongo zilizojaa usanii mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…