Black Legend
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 211
- 368
Nyerere aliacha ajira na kukiunga katika mapambano ya kupigania uhuru. Wewe unaubinafsi na hutofika popote, nchi inaliwa, watu wanakufa wewe unaleta hoja za kitoto hapa.Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Wewe baki ndani, waache wenye mipango yaoSativa
Maliza kuharisha ukachukue buku saba sasa. Vijana wanaojielewa hawanaga upuuzi kama wa kwako.Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Akili yake si umeiona?kumbe bado unagombea maandazi na wadogo zako
Tarehe 7&8 disemba utanunua unga na mchele,halafu 9/12 utaomba serikali wasizime mtandao Ili ushuhudie vurugu ukiwa ndani unakuna fungusSubiri muda ufike halafu uone.
Siku hizi mnaogopa sana maandamano. Mwanzoni mlikuwa mnawakejeli tu vijana. Sasa msubiri wawanyooshe mpaka akili zenu ziwakae sawa. Kuhusu kununua unga na mchele kwenye hizo tarehe zako, that is non of your business.Tarehe 7&8 disemba utanunua unga na mchele,halafu 9/12 utaomba serikali wasizime mtandao Ili ushuhudie vurugu ukiwa ndani unakuna fungus
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
🤨Wewe baki ndani, waache wenye mipango yao
🤨Swee
Uswisi mnasemaje mlitoka?