Vijana Angalieni muendako

Vijana Angalieni muendako

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
nchi imeuzwa jitahidi upate hela yako usepe maana kama unatokea familia ya walaslahoi ujue imetoka kuja kupata kazi ni ndoto pia WAO WANASEMA TUJIARI JE MSINGI YA KUJIAJIRI TUMEFUNDISHWA ,HEBU ANGALIENI HILI SUALA MAANA KUNA MTU ANAMALIZA CHUO NA DEGREE YA INTERNATIONAL RELATION UNAMWAMBIA AJIAJIRI SO ATATUMIA DEGREE YAKE VIPI KUJIJIRI AU NI BORA WASEMA WATU WOTE WACHUKUE DEGREE ZA AGRICULTURE SO VIJANA WENZANGU TUJIUNGE NA CHADEMA KUPAMBANA NA HAWA MABWEGE CCM
 
Kwa hiyo wewe hauoni opportunity za kujiajiri kwa mtu aliyesomea internation relation?
 
Kwahiyo we umeona chadema ndo watatua tatizo hilo? Tatizo hili haliitaji siasa, hapa ni uwajibikaji ndo unaotakiwa maana hata kwa chadema mambo yanaweza kuwa yaleyale coz kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo, mafisadi hawakosi kila chama ...I hate politics!
 
nchi imeuzwa jitahidi upate hela yako usepe maana kama unatokea familia ya walaslahoi ujue imetoka kuja kupata kazi ni ndoto pia WAO WANASEMA TUJIARI JE MSINGI YA KUJIAJIRI TUMEFUNDISHWA ,HEBU ANGALIENI HILI SUALA MAANA KUNA MTU ANAMALIZA CHUO NA DEGREE YA INTERNATIONAL RELATION UNAMWAMBIA AJIAJIRI SO ATATUMIA DEGREE YAKE VIPI KUJIJIRI AU NI BORA WASEMA WATU WOTE WACHUKUE DEGREE ZA AGRICULTURE SO VIJANA WENZANGU TUJIUNGE NA CHADEMA KUPAMBANA NA HAWA MABWEGE CCM
Kweli wewe unahitaji kuwa wa kwanza kuangalia huko uendako,maana mawazo uliyonayo bado finyu sana.
 
Duuuh YOU BETTER WATCH YOUR WAYS FIRST,with this kind of people we have in this nation;it will be harder to reach our goals
 
nchi imeuzwa jitahidi upate hela yako usepe maana kama unatokea familia ya walaslahoi ujue imetoka kuja kupata kazi ni ndoto pia WAO WANASEMA TUJIARI JE MSINGI YA KUJIAJIRI TUMEFUNDISHWA ,HEBU ANGALIENI HILI SUALA MAANA KUNA MTU ANAMALIZA CHUO NA DEGREE YA INTERNATIONAL RELATION UNAMWAMBIA AJIAJIRI SO ATATUMIA DEGREE YAKE VIPI KUJIJIRI AU NI BORA WASEMA WATU WOTE WACHUKUE DEGREE ZA AGRICULTURE SO VIJANA WENZANGU TUJIUNGE NA CHADEMA KUPAMBANA NA HAWA MABWEGE CCM

kwenye mitazamo kama huu wa kwako, apo ndo huwa naamini ile kauli mbiu ya kwamba ''Akili ni Nywele, kila mtu ana zake'' so ukinyoa nywele ndo unaishiwa na mawazo kama hivyo. pole sana mkuu
 
My friend kama umekaa unasubiri chadema wachukue nchi ili maisha yako yabadilike ur done. Jipange mwenyewe na hyo degree yako ya international relations ujiajiri kwa sababu tuna ushahidi wa wafanyabiashara wenye elimu ya darasa la saba na wanamafanikio makubwa sana

ushauri wangu kwako ni huu tumia elimu uliyonayo kubadili maisha uliyonayo sasa na uache mawazo kwamba vyama vya siasa vinabadili maisha ya mtu mmoja mmoja
 
Asante kwa ushauri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom