CDM itengeneze wanachama halisi walio kwenye chama siku nyingi ndio waje kushika nyadhifa muhimu,wahamiaji wabaki kuwa wanachama hadi hapo watakapoielewa vizuri cdm 2015 hatuhitaji safi ya viraka,wapo wana cdm amakini wengi waadilifu,hop viongozi wa cdm mtakuwa makini kutamnguliza maslahi ya taifa na siyo ya chama