Vigogo wahaha kumwokoa Masha

Uzi kama huu ungekuwa umerushwa siku hizi, ungekuwa una pages kama 100 na 95% porojo na matusi tu.

Mnaona utofauti wa zamani na sasa, wengi walisoma na kupita kama hawakujua issue iliyoletwa bali kujulia humu na kupita au kuuliza swali na kuendelea.
 
Walete walete mkuu awachomoki kabisa. Dah!! poor chadema nawahurumia wameingia kichwa kichwa kwenye mtego wa lowassa na kundi lake bila kujua.

Sijui watasimamia wapi kundi la wapigaji wamewakaribisha kwao.
 
Kweli kutoka CDM ya Dr. Slaa iliyokuwa inaibua Ufisadi uliofanyika mpaka hii CDM ya Dr. Mashinji ambayo inawajali na kuwategemea mafisadi kama mtaji wao kisiasa.
 
Halafu ndio anataka kutuwakilisha EAC??Kwanza huyu jamaa ni raia kweli??
 
😀😀😀😀

Wacha nicheke miye...maana kwa sasa ni mtu wenu na juzi tu mlimpendekeza agombee EALA
 
Mwenzako Dj anamuona bonge la mtu anayemfaa kuwakilisha EALA bila kupingwa,watu wana kumbukumbu za nyumbu wamesahau huyo huyo Masha aliwaambia gerezani sio Sheraton
 
Kahamia Chama ananachofanana nacho tabia kama maelezo ya tuhuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…