Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,401
Hao ni pamoja na Mwenyekiti , Saadat Mwambungu na wajumbe 19 wa kamati ya utendaji.
Hatua hiyo ilifikiwa juzi kwenye kikao kilichoongozwa na uongozi wa kanda ya nyanda za juu kusini chini ya mwenyekiti wake , Dk Steven Kimombo na mratibu wa kanda hiyo Frank Mwaisumbe.
Vigogo hao wamedakwa na tuhuma 7 kati ya 17 walizotuhumiwa nazo , ikiwemo ile TUHUMA KUBWA SANA YA KUTOWEKA KWENYE MAJUMUISHO YA KURA KWENYE UKUMBI WA HALMASHAURI .
MyTake - USALITI NI LAANA MBAYA SANA , sisi wanachadema wa Kyela tunapongeza sana cdm makao makuu kwa kusikia kilio chetu na kutuma viongozi wa kanda kung'oa wasaliti .
Nawahakikishieni kwamba sasa moto wa chadema Kyela ndio kwanza umewaka upyaaaaa !!!!