macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,475
- 61,353
WE uko sahihi,tumechoka na habari ya kufukuzanaSidhani kuna haja yakumfukuza huyo shibuda maadam tumeshamjua kusudio lake chadema
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, anaweza kupoteza ubunge wakati wowote , Raia Mwema, limeelezwa.
Hiyo inatokana na chama chake, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumtuhumu kwa kukihujumu na hivyo kupanga kumvua uanachama. Mbunge akikoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsimamisha, anakoma kuwa mbunge...
More: Raia Mwema - Vigogo kumvua ubunge Shibuda
Labda wasukuma wa juzi na sio wa leo,Asante Kwa chama pendwa kwa kutuamshaMimi naunga mkono hoja, madame tumeshamjua na hila zake, njia sahihi ni kumpuuza. Tukimfukuza atalitumia jukwaa atatuumiza. Chadema, kwa hili tumieni busara kubwa Shibuda ana nguvu sana kwa wasukuma na huu ndio ukweli
Mimi naunga mkono hoja, madame tumeshamjua na hila zake, njia sahihi ni kumpuuza. Tukimfukuza atalitumia jukwaa atatuumiza. Chadema, kwa hili tumieni busara kubwa Shibuda ana nguvu sana kwa wasukuma na huu ndio ukweli
Mimi naunga mkono hoja, madame tumeshamjua na hila zake, njia sahihi ni kumpuuza. Tukimfukuza atalitumia jukwaa atatuumiza. Chadema, kwa hili tumieni busara kubwa Shibuda ana nguvu sana kwa wasukuma na huu ndio ukweli
Baadhi ya magazeti na kundi moja lililoko ndani ya CHADEMA linakuwa na fikra za kilevi pale wanapofikilia Mh. John Shibuda ni weakest link katika msuguano na mnyukano ndani ya CHADEMA unachagizwa na ubinafsi wa kiwango cha kidikteta.
Hakuna nguvu imara za kisiasa ndani ya kamati kuu ya CHADEMA zitakazo kitikisa kizingiti cha Mh. Shibuda bila kuomba msaada.
Mh. John Shibuda hana cha kupoteza kama ataondoka CHADEMA na kama ikitokea kuwa hivyo, CHADEMA itakuwa matatani.
Huu ndiyo ukweli na wenye macho wanauona.