Viganja vya baharini .....!

What is this thing? mkuu ni picha duka hii
 
mkuu hii ni natural au man made!!, kama ni natural Uumbaji wa Mwenyezi Mungu uhimidiwe aisee inastahili iwekwe kwenye Wonders of The World!!
 
Umenikumbusha maswali ya true, false, i don't know!
 
What is this thing? mkuu ni picha duka hii

Hapana mkuu ...

Hiyo ni halisi kwani ukiangalia kuna ngazi za watu kupanda juu kwaajili ya utalii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…