haloooooooooooooooooooooooooooooooo, thaman ya ndala bafuni tu chumbani yaishia mlangoni tu.........wapi AT mna Mwa4, maneno kuntu hayo ehhhhhh.................kitu AT na KIFUU TUNDU ni thumbs up bwanaaaaaaa..... hao offside trick tupa kuleeee, kwanza jina lenyewe eti OFFSIDE TRICK mhhhhh, ushuzi mtupu
wamemuanza na kawamakiza utamuuuuuu, watabaki tapatapa..........................................horyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa