Vifurushi vya Tigo (Data, Sms, na Dakika)

Vifurushi vya Tigo (Data, Sms, na Dakika)

Habari zenu wakuu
Kuna jamaa yangu ameniomba nimfikishie huu ujumbe jukwaani.
Anaunganisha vifurushi vya mtandao wa tigo.

1. Kifurushi cha mwezi chenye dakika 550, Sms 8,000 na Mb 800 bei elfu Tano (5,000)

2. Kifurushi cha data 4GB na unarudishiwa Tsh 10,000 Kama muda wa maongezi
Gharama ya kifurushi hiki ni Tsh. 10,000.

Mawasiliano yake ntaleta baadae kidogo
Hapo namba mbili hio 4GB ni kwa wiki nzima au kwa mwezi.??

Fafanua kidogo mkuu
 
Halotel gb4 kwa wiki 7000 chenji inabaki hapo ya kununua muda wa maongezi kwenda mitandao yote kwenye 10,000
 
Hahahahaha naona unataka kuwapiga watu hivyo vifurushi vya dili mbona umevileta hapa jukwaani Tigo kwa nini muwe Na vifurushi vya kibaguzi #TigoTanzania
 
Back
Top Bottom