Am desperate kuja kuona siku Tanzania itafanya kitu sahihi na kizuri mpaka tuje tufurahie na sisi, yaani we are so good at kukosea.Niliongelea hili kua tatizo internet kwetu ni anasa wakati hukombele ukianza na Asia hii kitu ni kama nyenzo muhimu ya kupanda kuelekea maendeleo hivyo wao wameifanya kua very cheap na inavyoendea huko mbele itakuja kua free service kabisaa!Mfano mzuri Nchini Malaysia tuliopata Uhuru nao Kipindi kimoja
kwa tz yetu internet haitusaidii lolote habar zakina diamond ndo zinazosomwa zaidi bora iwe hivyo af watu wanaotumia internet ya halotel line ya chuo sijui wanapataje wengi sio wanachuoNiliongelea hili kua tatizo internet kwetu ni anasa wakati hukombele ukianza na Asia hii kitu ni kama nyenzo muhimu ya kupanda kuelekea maendeleo hivyo wao wameifanya kua very cheap na inavyoendea huko mbele itakuja kua free service kabisaa!Mfano mzuri Nchini Malaysia tuliopata Uhuru nao Kipindi kimoja
Kwa hiyo kila mtu anahudumiwa ki vyake!Duuuh, sasa mimi kwenye hiyo ofa yangu wananipa gb 1 kwa 1,000 kwa siku.
Kadi ya simu ni kama daladala unaangalia wapi kuna huduma nzuri upande. Huwezi kung'ang'ania gari bovu kwa sababu tu umelizoea! Litakufirisi.Hata hao watapatwa tu, na halotel labda line ya chuo ndo ina bundle zinazotazamika amd then nikisema nihamie halotel basi nitajikuta nina line jumla saba za simu na hapo bado sijajumlisha line nazotumia kwenye modem, yaani nina tabia kila nikiona sehemu fulani ina bundle za nafuu nakimbiliaga huko na nikishafika sikai sana nao wanapandisha tena. Yaani kama kodi inatozwa kwa voda, basi hata tigo, airtel na wengine watakuwa wanatozwa hivyo hivyo.
Hiyo safari packDuuuh, hiyo ni huduma ya roaming au?
Halafu speed ya konokono. Hawa jamaa hata km bundle zao nafuu lkn speed ya net huwezi kufananisha na voda.Njoo halotel mb miasita kwa jero
Hiyo namba inayoonekana ni ya salome wako?Hii hapa hatari
Unajiungaje?mi nanunua GB3 kwa 2000 kwa siku 5... VODACOM_OFA_YANGU
*149*03#Unajiungaje?