Vifo vingine Bwana!!

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
Jamaa mmoja akiwa amelala aliota ameokota mfuko kama ile ya kufungia sembe imejaa sarafu za shilingi mia mia, akaushika kwa juu akauziba kwa mikono akanyanyua kuanza safari, ile ananyanyua akagundua unatobo kwa chini hivyo sarafu zinavuja, akachomeka kidole ili kuziba tundu. Loo! Watu kuamka asubuhi wanakuta Jamaa kafa amejipiga loba na kidole kachomeka matakoni. Nawasilisha!
 
Angalia! Kila ndoto sio ndoto, utakufa!!
 
Thread nyingine kiboko. R. I . P marehemu.
 
mmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh hivi kwani uiwa unaota ndoto huwa unafanya vitendo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…