Vifo michezoni

Kimbojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2009
Posts
387
Reaction score
54


Wadau kumbukeni tarehe 26/06/2003 kwenye kombe la mabara alipofariki Mark Vivien Foe. Wanamichezo tukumbuke kuchunguza afya zetu mara kwa mara. Fungua /angalia hiyo picha ukumbuke vizuri
 
Tumekupata kiongozi ni jambo jema kupima afya si kwa wanamichezo tu ila kwa kila mtu inampasa kupima afya japo mara moja kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…