Sir kijangwa Member Joined Mar 10, 2014 Posts 82 Reaction score 40 May 27, 2017 #1 Jaman vifaranga wangu wanatapika damu kisha kufa je huu ni ugonjwa gani.
ndugaseli JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 869 Reaction score 2,405 May 27, 2017 #2 nenda kwa dr yeyote wa mifugo aliye karbu naww mkuu
haroun maira New Member Joined Jun 25, 2016 Posts 4 Reaction score 1 May 27, 2017 #3 Wanatapika au wanaharisha damu mkuu
Sir kijangwa Member Joined Mar 10, 2014 Posts 82 Reaction score 40 May 27, 2017 Thread starter #4 Wanatapka kaka hata mm nmeshangazwa ugonjwa huu.
baiser JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,487 Reaction score 2,265 May 27, 2017 #5 Any changes in feeding? Or any exposure in poison ?or if any treatment done before?
middle east JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,309 Reaction score 1,695 May 27, 2017 #6 Hawajarogwa kweli hao ???.....ebu angalia mtàani hapo umegombana na nani
Sir kijangwa Member Joined Mar 10, 2014 Posts 82 Reaction score 40 May 27, 2017 Thread starter #7 Kaz kwel very disapointng
Dumbuya JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 596 Reaction score 881 May 27, 2017 #8 Je usafi wa banda ulifanyika vizuri kabla ya kuwaingiza hao vifaranga ??Uchafu na masalia ya bacteria husababisha.Kwa maelezo sahihi zaidi wahi kwa dr wa mifugo utaweza okoa vifaranga wengine wasife.Nenda na kifaranga kabisa.. Pole sana.
Je usafi wa banda ulifanyika vizuri kabla ya kuwaingiza hao vifaranga ??Uchafu na masalia ya bacteria husababisha.Kwa maelezo sahihi zaidi wahi kwa dr wa mifugo utaweza okoa vifaranga wengine wasife.Nenda na kifaranga kabisa.. Pole sana.
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 May 27, 2017 #9 Hii mpya kabisa kwangu, Nimeanza ufugaji wa kuku ingawa haikuwa Rasmi toka mwaka 1989, sio kuona tu hata kusikia ndio kwanza hapa JF
Hii mpya kabisa kwangu, Nimeanza ufugaji wa kuku ingawa haikuwa Rasmi toka mwaka 1989, sio kuona tu hata kusikia ndio kwanza hapa JF
Sir kijangwa Member Joined Mar 10, 2014 Posts 82 Reaction score 40 May 28, 2017 Thread starter #10 Kazi kweli mwingine anaweza asiamini ila hiyo ndo hali halisi.