Vifaranga chitara ndo nini? Wajasiriamali wenzangu,biashara ni matangazo na tangazo linatakiwa litumie lugha rahisi,yenye mvuto na ya kueleweka! Epuka makosa ya kiuandishi kwenye tangazo.