Wadau natafuta vifaa muhimu kwa ajili ya kuanzisha ofisi ndogo ya stationery,yeyote mwenye kifaa husika kama printers,photocopiers,scanner,binding machines na vinginevo anichek inbox plz.