K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,565 Reaction score 14,848 Feb 16, 2013 #1 Je ndugu zangu mnafahamu madalali wa vifaa vya Hospitali Tanzania? Nina mzigo mkubwa natafuta madalali wa kufanya nao business. Kama kuna watu wanafanya sales kwenye kampuni kubwa au wana nunua vifaa kwa jumla nipeni link au email.
Je ndugu zangu mnafahamu madalali wa vifaa vya Hospitali Tanzania? Nina mzigo mkubwa natafuta madalali wa kufanya nao business. Kama kuna watu wanafanya sales kwenye kampuni kubwa au wana nunua vifaa kwa jumla nipeni link au email.