Uko wapiHabari wadau,
Nauza vifaa vya kupikia na kuuzia chips. Viko complete unaweza kuendelea kutumia.
Majiko mawili (la kuchemshia na la kukaangia/kuchoma mishkaki), aluminium show case (size ya kati), karai na frying pans, meza ya mbao, viti 4 vya plastic na meza ya plastic kwa ajili ya wateja na vifaa vibgine vidogo vidogo. Pia kuna makreti ya soda na bia.
Bei nzuri. Nicheki 0712016405
Nipo DSM kaka
Nipo DSM kaka
Dar kubwa, dar sehemu gani, hiyo aluminium show case unauzaje ina partion ndani au ipo tu kawaida kama box haina partion?
Eee baba yaishe ahsanteHata nikikujibu hayo sitawaridhisha wote. If u r serious with the business chukua namba piga uliza unachotaka, ukitaka picha utatumiwa whatsapp, hujaridhika njoo na watu wako. Hio sio thread ya mapenzi kwamba lazima tujibizane zifike page 20! Ningekuwa naweza kujibu maswali yenu yote basi nisingeweka namba ya simu na bei tunge bargain hapa hapa. U guys sijui mkoje. Hebu tofautishen vitu serious na mada za makopa na zile za MMU bhana
Hata nikikujibu hayo sitawaridhisha wote. If u r serious with the business chukua namba piga uliza unachotaka, ukitaka picha utatumiwa whatsapp, hujaridhika njoo na watu wako. Hio sio thread ya mapenzi kwamba lazima tujibizane zifike page 20! Ningekuwa naweza kujibu maswali yenu yote basi nisingeweka namba ya simu na bei tunge bargain hapa hapa. U guys sijui mkoje. Hebu tofautishen vitu serious na mada za makopa na zile za MMU bhana
Kaina una hasira sana.Ungetumia tu lugha ya upole na ya kibiashara.Unajua biashara ni kubembeleza na kushawishi.Pia aliyeuliza swali hapo juu nadhani hakuwa na maana mbaya. Unajua unapoweka mambo hayo hapa kwenye thread kuna watu wengi tunajifunza hapa hapa bila kutumia gharama za ziada na kupoteza muda wa ziada.Mfano kibiashara kupiga simu kwa ajili ya kuulizia bei ya kitu ni hasara kwa sababu huyo mtu atalazimika kulipia gharama japo kidogo kukupigia simu wakati akiwa anahitaji na ameshawishika angeweza kuona bei na kufanya amaamuzi hapo hapo na hivyo kuokoa muda.
U guys sijui mkoje. Hebu tofautishen vitu serious na mada za makopa na zile za MMU bhana
Eee baba yaishe ahsante
Teh business man mkali kama pilipili mbuzi
Msamehen bure huyo ukiona anakauli chungu ndo mjue wateja wamemkimbia kwa kauli zake! Kma wataka kufanya biashara kuwa na kauli safi na busara iwe mbele mkuu
Wewe ungekua serious ungeweka details za kutosha kupunguza usumbufu
Umemalizia na ahsante kuonyesha msisitizo
Kavurugwa
Kwa kauli hizo akawe Konda labda ndo atapata tu wateja
Nimefikiria hili pia! Zero customer relation! Kwani ameshindwa kumjibu kistaarabu! Mjasiariamalielimu amempa maneno kuntu..Msamehen bure huyo ukiona anakauli chungu ndo mjue wateja wamemkimbia kwa kauli zake! Kma wataka kufanya biashara kuwa na kauli safi na busara iwe mbele mkuu
Hahaha hili ndilo linalonishangazaga! Yani poor marketing! Imagine mtu anashindwa kuweka bei anataka umpigie! Hajui ni kupoteza muda mwingine na pesa! Sijui kwanini hawa watu wa insta wasijifunze kwa wenzao wa nje!Biashara za instagram hizo mtu anaweka bidhaa zake hasemi alipo wala bei ukimaliza chochote unaambiwa njoo whatsapp.
Hahaha hili ndilo linalonishangazaga! Yani poor marketing! Imagine mtu anashindwa kuweka bei anataka umpigie! Hajui ni kupoteza muda mwingine na pesa! Sijui kwanini hawa watu wa insta wasijifunze kwa wenzao wa nje!