Vifaa vya Bakery Used Vinauzwa

Vifaa vya Bakery Used Vinauzwa

liz2475

Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
11
Reaction score
1
Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402
 
Unaogopa kulipishwa tangazo??
Kuwa huru,weka hapa vifaa na bei,kigamboni ina mitaa ake
 
Ungeweka Aina ya kifaa, Kampuni/Brand
Idadi na Bei yake
Imetumika muda gani
 
Nauza vifaa vya bakery ambavyo bado vinatumika kwa sasa. Napatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Tel. 0754 801 402
Mnaaambiwa kusoma mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa, eti nauza vifaaa vya bakery vipo kigamboni unaweka namba ya simu unadhani umemaliza kuandika tangazo.
Puuuuuumbavu
 
Bora ungejiuza mwenyewe, maana hiyo number ndo ingekuwa na maana.
 
Back
Top Bottom