Vifaa mbalimbali vya video vinauzwa

Vifaa mbalimbali vya video vinauzwa

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,512
Nina vifaa mbalimbali vya video naviuza:

SONY Camera - HXR-MC2000 - Hii ni professional camera na nI camera nzuri saaaana. Ina internal hard drive ya 64 GB unayoweza kurecord direct ndani lakini pia unaweza kutumia memory cards. Inarecord katika full HD. Maelezo mengine mafupi muhimu ni:
  • Digital zoom: 160x
  • HDMI: ndiyo
  • Component: ndiyo
  • Image stabilizer: ndiyo
  • aspect ratio: 16:9
  • USB 2.0 : ndiyo
  • Video formats supported: AVCHD, H.264, MPEG2, MPEG4
  • Naweza kutoa maelezo mengi lakini hii camera ina capabilities nyingi na haina complications nyingi. Inakuja na accessories ZOTE muhimu, hauhitaji lolote zaidi. Unaweza kusearch online kupata maelezo zaidi na kuona reviews zake (samahani siruhusiwi kuweka link).
    BEI: TSH 4,000,000
61GJixG0cFL._SL1073_.jpg

Blackmagic Design Intensity Shuttle with Thunderbolt - hiki ni kifaa kinachokuwezesha kurecord uncompressed video moja kwa moja kutoka katika camera mpaka kwenye computer.
BEI: TSH 450,000
  • Kinakuwezesha ku capture very high quality (uncompressed) footage ambayo otherwise ukiweka kwenye kadi inakuwa compressed sana matokeo yake unapoteza quality.
  • Ukishacapture, unaweza kuanza kuedit mara moja bila kuhitaji kufanya conversion yoyote, au kutransfer files (kwa watu wa video wanajua jinsi hii process inavyoweza kuchukua muda mrefu).
  • Inasupport software za aina zote kuanzia Final Cut, Premiere Pro, After Effects, nk.
  • Camera unayotumia inaweza kuwa na HDMI, Component, Composite au hata S-video port.
  • Kina matumizi mengi sana ambayo siwezi kuyaorodhesha yote hapa lakini unaweza kutafuta maelezo zaidi online ujue umuhimu wake.
  • Kumbuka, unahitaji computer yenye thunderbolt port, pia unahitaji thunderbolt cable.
Blackmagic_Design_BINTSSHU_THBOLT_Intensity_Shuttle_with_Thunderbolt_1328204228000_842013.jpg


Kwa maelezo zaidi, naomba tuwasiliane.

VIFAA ZAIDI VITAORODHESHWA LEO, ikiwemo Professional Panasonic Cameras, MIDI/Audio Interface na projector screens.
 
Nimewasiliana nae anasema bei yake ni milioni ishirini, je ni sawa wadau?
 
Milioni ishirini?!! Duh, hiyo balaa.

Sijawasiliana na huyo mtu, nadhani alikuwa ananikumbusha kwamba bei inamiss kwenye maelezo yangu. Au alikuwa na nia mbaya kunichafua, siwezi kujua kwa nini afanye hivyo wakati hanifahamu.
 
Back
Top Bottom