Alipokuuliza hdd alimaanisha Hard Disk Drive ( I think)
Kuhusu ishu yako ni hivi;
Ingawa simu inakua na nafasi kubwa lakini kunakua na nafasi kwa ajili ya media (yaani miziki, picha na video), kunakua na nafasi kwa ajili ya apps na shughuli zingine.
Inapotokea nafasi ya apps ikajaa ndiyo utakuta ukiangalia unaona free space ili ukidownload inakwambia hivyo.
Solution ninayoiona tumia memory card, yaani audio, video na picha zote uwe unahifadhi kwenye memory, hii itasaidia hilo suala.