Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,173
Hawezi hata kujaribu,Hapo juu ni moja ya mikutano yake na Rais OBAMA(US).LAKINI HUWEZI KUWAKUTA WA VIETNUM WANAJADILI RAIS WAO KATUMIA LAFUDI GANI KUZUNGUMZA.
Watanzania hata wanaojiita wasomi ni Mbumbumbu kweli,Tulipotembelewa hapa Rais Obama wa Marekani wasomi(MaGT) Walichokuwa wanakisikiliza na kukijadili ni kiingereza cha Rais Mstaafu JK na sio kilichokuwa kimemleta OBAMA.
Ni kwanini watanzania wana utumwa na utamaduni huu wa ajabu sana????????
NB,Nimeamua kulisema hili baada ya kuona kuna watu wengine wakubwa tu na waojiita wasomo na mi CV Mirefu kwenye makala zao wamelifanya kama AGENDA ya kisiasa.Eti kwanini Rais Magufuli hakuongea Kiingereza na Rais wa Vietnum?????????Utaongea vipi kiingereza na Mtu asiyejua kiingerza????????????????
Kama alivyosema Rais Magufuli kuwa hawa watu ni watoto TUWAVUMILIE.........................