Walioishia o_level wanaweza kuapply? na2mia cm so sijaweza kufungua hyo link...
Kaka kampuni kubwa kama hiyo mnatumia Gmail?
Nashukuru umeligundua hilo Kituko. Nacho ni Kituko kama jina lako. Usichangae watu watakapoanza kuingizwa mkenge kwa kuambiwa tunaingia kwenye board meeting hivyo tuma kiasi kadhaa cha pesa ili niwa convince wenzangu uweze kuchukuliwa kwenye position uliyoomba. Tafadhali usipige simu nipo kwenye meeting. Tuma pesa niweke mambo sawa.
Baada ya kuibiwa wengi ndo huwa wanastuka. lakini vitu vidogo vidogo kama hivyo huwa haviwastui, sijui kwa nini!!!!!

nashukuru umeligundua hilo kituko. Nacho ni kituko kama jina lako. Usichangae watu watakapoanza kuingizwa mkenge kwa kuambiwa tunaingia kwenye board meeting hivyo tuma kiasi kadhaa cha pesa ili niwa convince wenzangu uweze kuchukuliwa kwenye position uliyoomba. Tafadhali usipige simu nipo kwenye meeting. Tuma pesa niweke mambo sawa.
Baada ya kuibiwa wengi ndo huwa wanastuka. Lakini vitu vidogo vidogo kama hivyo huwa haviwastui, sijui kwa nini!!!!!
watanzania wenzangu acheni kupenda hadithi, kabla hujaandika comment zako ni bora ufanye uchunguzi wa kina alafu comment kitu ambacho una uhakika nacho. Watu wengi wameshafanya interview pale ifm na wengine wemeshafanya oral pia. Sasa nenda kaulize kama kuna mtu ameshawahi ombwa pesa hata tsh 100. Wewe endelea kusikiliza hadithi na wengine wanapata ajira na kusonga mbele. Baadae ukisikia mambo yamekuwa mazuri itakuwa too late for you. Thanks!!!

The person is not serious!Ndugu wewe wataka kazi au wataka kazi ikufuate. Huna thamani kuliko profession nyingine katika soko la sasa la ajira. Muhuri hata advocate anao. Nao madaktari siku hizi wana mihuri. Kwa sababu ya muhuri wataka ufuatwe?
O_level hawez kuapply? km inawezekana je kitengo gan aapply?