[h=2][/h]Airpot kuna maduka ambayo yanakatwa kila kukicha mfano kama ww nimsafiri ukiwa unaingia internation dep pare final security kuna kiduka wamesha kiongeza ambacho wamebana eneo na wasafiri kukaa au get namba 5 pale mlangoni tena wamekata kiduka kingine. Mimi sikatai maduka ila yaendane na eneo husika nowdays nyerere inabeba watu wengi kila kukicha wanaongezeka sasa unapo punguza eneo madhara ni makubwa kupita faida. Mwakyembe yeye ni waziri wa uchukuzi ndo maana namuingiza hapa yeye kama hapiti huko nadhani anapita VIP lounge.