omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini
Kama ni vidonda tu vya kawaida ramba asali asaubuhi na jioni utapona lakama ni vidonda vya fangasi nione mimi nipate kukupa upate kupona.Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini