Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Tumia Jet Audio kuweka Picha yakonikitaka kuplay wimbo kwa Vlc(audio) NATAKA itokee cover la pcha nayotka....nafanyaje??
Tumia Jet Audio kuweka Picha yakonikitaka kuplay wimbo kwa Vlc(audio) NATAKA itokee cover la pcha nayotka....nafanyaje??
Change album name then photonikitaka kuplay wimbo kwa Vlc(audio) NATAKA itokee cover la pcha nayotka....nafanyaje??
Audio unataka kutengeneza beats? Nakushauri utumie fl studio iko freshnaam mi nahitaji kuwa video editor bt sina mwalimu wala program ya kuedit video na audio naombeni muongozo inabidi niwe na program ipi na ipi? nawasilisha
ivi mkuu ili kutengeneza beats lazima ujue kupiga chombo chochote ?Nmeipenda hii thread, na nimeshai - subscribe kabisa, wakuu mi ni beginner kwenye mambo ya audio production ndo najifunza kupitia fl studio vs 12 tatizo ninalolipata ni kua nikiwa nacheza audio nilizo zitengeneza napata sauti ina crack au inascrachi na haileti ule utamu mzuri wa sauti tatizo inaweza ikawa ni nn?
Tumia Video editor kama adobe premier ,wondershare,avs editorMe ningependa kujua zaid jinsi ya kuingiza maneno kwenye video either kwa kutumia android au machine
ndioivi mkuu ili kutengeneza beats lazima ujue kupiga chombo chochote ?
program zipo nyingi avs editor ,adobe premier ila muhimu ingia classnaam mi nahitaji kuwa video editor bt sina mwalimu wala program ya kuedit video na audio naombeni muongozo inabidi niwe na program ipi na ipi? nawasilisha
adobe premierJinsi ya kuedit maneno katika video yaani subtitle? alafu na ku blur video portion yaani kutia mazigazi ili kuficha identity ya scene iliyo mbovu.
tumia software inaitwa mp3 tagnikitaka kuplay wimbo kwa Vlc(audio) NATAKA itokee cover la pcha nayotka....nafanyaje??