Heshima kwenu wanajamvi!
Nimekuwa nikijaribu kuitafuta hii application kwenye playstore bila mafanikio.
Natumia simu aina ya galaxy note II. Au simu hii haisapoti hiyo huduma, maana nilikuwa natumia lg p769 nilikua naipata bila matatizo.
Kwahiyo naomba msaada wenu!