Videonics power supply for mxpro-3000 *s/o* - pwrs-0020-01 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Videonics power supply for mxpro-3000 *s/o* - pwrs-0020-01

Discussion in 'Matangazo madogo' started by GBBS, Aug 11, 2012.

 1. G

  GBBS Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Waheshimiwa poleni na majukumu mbalimbali ya kila siku.Mungu aliyehai awafanikishe katika mema yote!
  Naomba msaada wa jinsi ya kuipata power supply ya digital video mixer aina ya Videonics mx Pro. VIDEONICS POWER SUPPLY FOR MXPRO-3000 *S/O* -PWRS-0020-01Iliungua na sina tena nyingine.Nimejaribu kuambatanisha attachment ya HIYO VIDEO MIXER.Nimejaribu kipindi fulani kutumia watu kuitafuta kwa mafundi Dsm,lakini sikuipata hata kuitengeneza ilishindikana.Matumizi ya hii video mixer inatumika kuchanganyia picha za video na sauti.Inaingia video camera nne, Sasa naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kuipata anijulishe.Naishi Tanga mjini na simu yangu ni 0658 81 69 82.Asanteni sana kwa ushirikiano.
   

  Attached Files:

Loading...