VIDEOGRAPHER ANAHITAJIKA
Tunatafuta Videographer mwenye ubunifu na uelewa wa graphics/editing kwa ajili ya kutengeneza video zenye ubora wa juu(Social Media Contents).
Sifa:
- Ujuzi wa kupiga video (shooting)
- Uelewa mzuri wa editing na graphics
- Awe mbunifu na makini kwenye detail
Malipo:
- Allowance: Tsh 250,000
- Kazi nzuri zaidi italipwa zaidi
Mawasiliano - WhatsApp:
0657 151 577
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site.
Learn more…