Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi

Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi.

Aidha hatujasikia tume huru ya uchaguzi ikikanusha jambo lile kuwa zile video ni Ai na hakuna hatua zozote za kisheria zilizo chukuliwa dhidi yao hivyo inaonesha tume ili bariki jambo lile la kipumbavu kinyume cha sheria.

Huu ni ushahidi wenye nguvu lazima watumishi wote wa tume huru wakamatwe kwa kuhujumu uchaguzi.
 
Kuna binti ya ndugu alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi, anasema kwenye kituo chao eneo la Kisesa Mwanza, mpaka saa 6 mchana walipokea wapiga kura 3 tu. Ilipofika hiyo saa 6mchana, akaja mkurugenzi, akawaambia wachukue karatasi na kuanza kutick kwenye jina la Samya na wagombea wote wa CCM. Walifanya hiyo kazi kutoka muda huo mpaka saa 10 jioni. Hiyo inaonekana ilifanyika kwenye vituo vingi. CCM na hawa watendaji wa Serikali ya CCM, kwa kweli ni ushetani mtupu. Ni aheri tungeendelea kuwa chini ya wakoloni.

K
Ukisoma hata historia, kwenye ucjaguzi ule wa kura 3 wakati wa mwingereza, ulikuwa halisia, siyo hizi chaguzi takataka zinazoongozwa na Serikali hizi bandia za CCM. Watu walipigania kutoka kwenye ukoloni wa mzungu, kisha tukaingia kwenye ukoloni mbaya zaidi wa CCM!!
 
Video za Oct 29 zinaonesha wazi kulikuwa kuna vituo vingi wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanajaza makaratasi ya kura feki hakukuwa na uchaguzi.

Aidha hatujasikia tume huru ya uchaguzi ikikanusha jambo lile kuwa zile video ni Ai na hakuna hatua zozote za kisheria zilizo chukuliwa dhidi yao hivyo inaonesha tume ili bariki jambo lile la kipumbavu kinyume cha sheria.

Huu ni ushahidi wenye nguvu lazima watumishi wote wa tume huru wakamatwe kwa kuhujumu uchaguzi.
Tume nao wanafamilia zinawategemea. Wakulaumiwa na samia na genge lake la akina kikwete
 
Back
Top Bottom